Sio mimi ni rafiki yangu

Sio mimi ni rafiki yangu

Chamachama

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
200
Reaction score
129
Jamani ieleweke kuwa ni rafiki si mimi
Kuna rafiki yangu jamani wamebreakup na mpenziwe lakini kibaya zaidi mahusiano yao yalijulikana na baadhi ya watu kama viongozi wa kanisa na wengineo, sasa imetokea huyu rafiki amepata mpenzi mwingine at the same time, na huyu mpenzi ni rafiki na jamaa wanafahamiana ila jamaa hajui kama mwenzie alikuwa na mahusiano na yule mrembo.

Utata unakuja mrembo anampenda jamaa, na jamaa vivyo hivyo, bidada kadata haelewi afanyaje coz tayari kamweleza jamaa kuwa alikuwa na na fulani ambae ni rafiki yake, tatizo ni kwa wachungaji na watu wengine wanaofahamu mahusiano yake ya awali, anaomba ushauri afanyaje?

Je hawawezi kutengeneza bifu la kimya kimya na mkaka mwenzie?

Ushauri
 
aache wehu hilo n pepo nabii ....ye aridhike, anaendekeza ngono tuuuu..... et amedata ina maana atakutana na wakaka wangapi mpaka kufa kwake...? wanawake bwana Mmmh ....
 
acha kutueletea stori za abunuasi (BULI-CHEKA) hapa.... Ana michepuko mia afu anahusisha wachungaji, mpe vibao viwili akili imkae vizuri. :angry::angry::angry:
 
Jamani ieleweke kuwa ni rafiki si mimi
Kuna rafiki yangu jamani wamebreakup na mpenziwe lakini kibaya zaidi mahusiano yao yalijulikana na baadhi ya watu kama viongozi wa kanisa na wengineo, sasa imetokea huyu rafiki amepata mpenzi mwingine at the same time, na huyu mpenzi ni rafiki na jamaa wanafahamiana ila jamaa hajui kama mwenzie alikuwa na mahusiano na yule mrembo.

Utata unakuja mrembo anampenda jamaa, na jamaa vivyo hivyo, bidada kadata haelewi afanyaje coz tayari kamweleza jamaa kuwa alikuwa na na fulani ambae ni rafiki yake, tatizo ni kwa wachungaji na watu wengine wanaofahamu mahusiano yake ya awali, anaomba ushauri afanyaje?

Je hawawezi kutengeneza bifu la kimya kimya na mkaka mwenzie?

Ushauri

Sijaelewa
 
Back
Top Bottom