Sio mikito tu, hata kuongea kumo

Ni shairi, au limekukuta na umeshindwa kuliweka vizuri au???manake nimesoma mara kumi ila sasa aaah au ni ndoto uliyoota ndo umeiwasilisha??
 
[emoji5] [emoji5] [emoji5] ......
 
mbwembwe nazifanyia home ground...tuu..!!..away...sina shobo nikipanda tako zangu kadhaa walete....naingia kitaa kwenye shughuri za ujenzi wa taifa....sina haja ya jihad utadhani vita ya ukombozi....
 
Hahahaa...
Nikipata dem kwa kitanda aongei wala ajishughulishi... Kesho sirudii
 
Ni shairi, au limekukuta na umeshindwa kuliweka vizuri au???manake nimesoma mara kumi ila sasa aaah au ni ndoto uliyoota ndo umeiwasilisha??
inamaana haujaelewa kabisa?
 
Mambo ya kuongea tena! Hapo ndio Ataanza kukumbusha Ahadi zote za tangu mwaka jana...Anajua utaitika tu.
 
Ila kama pesa ipo hata ungepiga kimya kimya atapiss tu.
 
Samahani mkuu..hvi wewe ni me au ke.?cjauliza kwa nia mbaya
 
Hahahaa...
Nikipata dem kwa kitanda aongei wala ajishughulishi... Kesho sirudii
Hata hao bubu wanatoa yowe, sembuse jitu linaongea fresh? Dawa ni kupiga chini tu, cuz inaonesha wazi hajatambua real def ya sex
 
mbwembwe nazifanyia home ground...tuu..!!..away...sina shobo nikipanda tako zangu kadhaa walete....naingia kitaa kwenye shughuri za ujenzi wa taifa....sina haja ya jihad utadhani vita ya ukombozi....
Labda kama hizo papuchi za kitaa unapewa bure, ila kama unazilipia lazima roho ikuume
 
Ha ha ha ha haaaaaaaa... "baby umekojoa?"
 
Kile ni chakula, na kuongea ongea wakati wa kula siyo vizuri, ndiyo maana mnakufaga katikati ya chakula...
Kwo wewe huwa unaenjoy kabisa mapenzi ya kimyakimya?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…