Sio kwamba Mimi ni mariaoo, ila

Pesa ya mwanamke mhhh ni ngumu sana. Wengine walikua watoaji wakakutana na mafisi maji sahizi wanaogopa kabisaa kumpa jamaa hata kumj
Pesa ya mwanamke ni chungu mno, wapo wenye moyo wa kutoa ila bado wakitoa inawauma.
 
Ndio maana sipo kwenye mahusiano na sitegemei kuw na permanent relationship kwa kuwa WANAWAKE ni wabinafsi sana.

Maisha ni 2way traffic.
Ubinafsi wao si kwenye hela tu hata Kimawazo ni wabinafsi watajiangalia wao na vyao ni vyao chako ni vyao pia.

Dawa ni kununua Penzi unalitumia unanunua lingine.
 
Yupo chuo cha kati
 
Unataka utumiwe helaa Junior[emoji3][emoji3][emoji3] ila Last born huwa mna matatizo ya akili sijui unataka kudekezwaaa kamaa alivyokudekezaa mamiii toto mzuri.
[emoji28][emoji28][emoji28]huyu katuzidi watoto wa mwisho bhana usitungizie mtoto mzuri[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji28][emoji28][emoji28]huyu katuzidi watoto wa mwisho bhana usitungizie mtoto mzuri[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yani Junior kanisikitisha mnoo[emoji3][emoji3][emoji3] Kweli analilia kutumiwa hela hajui Hata Mke akiwa na mil 10 ndani au bank bado unaweza muomba akasema hana ukaenda kukopa hela ya kununua Mboga ya kula nyumbani...!! Ndo girlfriend?? Ana safari ndefu ya maisha.
 
Mfundisheni kaka zake anambio ndefu sana huyu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…