Sio kwamba Mimi ni mariaoo, ila

Seen
 
Soma kijana acha ujinga wa kuwaza hela ya mwanamke unaonyesha dhairi ww ni marioo unayependa kelelewa wanawake ni wabinafsi sana acha kabisa kuwaza hela yake tafuta yako
[emoji2][emoji2]
Hapana sio marioo Ila nawaza tu what if ningekua na shida ?
Nimetumia hii situation kupima upendo kweli upo?
 
Hela ya mwanamke usiiwaze kabisa.
 
Unataka utumiwe helaa Junior[emoji3][emoji3][emoji3] ila Last born huwa mna matatizo ya akili sijui unataka kudekezwaaa kamaa alivyokudekezaa mamiii toto mzuri.
 
Mimi mwanaume siwezimpa pesa ila sijui nguo, viatu, etc atachoka mwenyewe nikipenda kitu lazama nimnunulie!
.....ofcoz nyie wanawake ni watu wa kutoa vizawadi vidogovidogo,it is good......lakini pia muwe wepesi kujitoankwa kikubwa pale unapogundua mwenza wako ameyumba kidogo, mwanaume halisi sio rahisi kuomba msaada Kwa ke......hiyo ya kusema mi siwezi msadia mwanaume ndo inayowapa pointi tatu muhimu wale wa kataa ndoa.....
 
Unataka utumiwe helaa Junior[emoji3][emoji3][emoji3] ila Last born huwa mna matatizo ya akili sijui unataka kudekezwaaa kamaa alivyokudekezaa mamiii toto mzuri.
In reality Mungu kanipa uwezo sikosi mahitaji muhimu almost yote,
Kuna siku huwa na mkopesha huyu manzi na sometimes vocha nk nk, sa sijui huwa ananipima?
Na sijasema nataka anipe pesa even if one day akanipa Sito itumia,
Soma vzr nyuzi
 
Mkiwa wapenzi? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Wanawake hatunaga hela wewe, sa hela ya kukupa atatoa wapi
 
Ukiona mtu hakusaidii jua hakupendi mwanamke akipenda hana limitations. Kuna mwingine yupo na wewe wakati akisubiri kupata mwingine so kuwa makini.

Hao kataa ndoa wala wasikupe shida muda utaongea tutajua rangi zao halisi maumivu ya kichwa uanza pole pole!!! Moto unawaka πŸ‡ΊπŸ‡¬ wenda na πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ukawaka.
 
Lakini huyo inaonekana hajayumba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…