Sio kila siku kuwasimanga

Una ridhaa ya mwenye picha uliyoambatisha hapa?
 
Poa tumekupata mkuu
 
Eti iyo picha ni mdog wako nimekapenda kazur sana embu nitumie no yake
 
Huyo mkubwa kabisa... Uganda tunaruhusiwa kuanzia 16
Umeharibu mada yako nzuri kwa kuweka picha ya huyo mrembo. Watu hawajadili mada wanajadili huyo mrembo.
Lakini nimekuunga mkono kwa 100%. Mwenyewe nakereka na matusi na dharau kwa wanawake kwa hiyo nakupongeza kwa mada hiyo.
 
Kipaumbele changu kwenye hii siredi ni ka black beauty asee!mungu fundi, nyie mnaotukana hawa viumbe mungu anawaona aki.[emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…