tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Katika dunia hii Mungu katugawia vipaji mbali mbali ili dunia iwe sehem yenye furaha. Kuna wakat unaweza kuona jambo ambalo hukuwahi hata kufikiri maana Mungu katugawia vipaji tofauti. hivo hilo jambo jua limetendeka na mwingine kutegemea na kipaji chake. Na kamwe usilazimishe ufanane na fulani.
1: Sasa timu yetu naona tumemchukua mwokota mipira awe kocha wetu, kisa tu alikua shapu kuokota mipira wakati timu inaongozwa na kocha yuleee. TULIBUGHI MEN!!
2:Inawezekana vipi ukamchukue mwendesha mtumbwi awe nahodha wa meli? Kisa tu ana uzoefu baharini??
Utakua UMEBUGHI MEN!!
3: Unamchukua sisonje awe mkuu wa umoja wa mataifa ataongea nini mbele ya wale watu yaan nasema wale watu, kama hajaanza kutaja idadi ya madaraja duniani tena kwa kilugha!! Utakua UMEBUGHI MEN!
4: Unamsajili Diamond awe mchezaji simba sports club kisa tu anajua kukata viuno jukwaan na anamashabiki wengi, Kuna kitu utapata kweli?? Utakua UMEBUGHI MEN
5: Kamwe usijaribu kumchukua mlinzi wa club awe Dactar hospitalini ataua watu maana hajazoea kubembeleza japo nae huokoa watu wasiuane kwa kupigana .Utakua UMEBUGHI MEN!
MAJUTO
2015 watanzania TULIBUGHI MA MEN , mwokota mipira tumempa ukocha, hatukuona hata waliokua benchi la ufundi japo nao wasingefaa lakn ingekua afadhari maana mbinu wanazijua japo kidogo.