Kalbandika
Member
- Oct 10, 2010
- 40
- 25
Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya ajira kwa sasa. Wanafunzi wanaohitimu vyuo mbalimbali kwa mwaka ni wengi kuliko nafasi zilizopo katika sekta ya umma na sekta binafsi.
Ushauri wangu kwa Serikali ni kama ifuatavyo :-
1. Ili kuepuka lawama ambazo zinaweza kuepukika ni vyema vyuo vikapewa utaratibu wa Kozi za kufundisha. Sio kila chuo kitoe kila Kozi.
2. Viwango vya kudahili wanafunzi vyuo vikuu vianzie Daraja la kwanza (Division One) kwa wavulana na daraja la kwanza na la pili (Division one and two) kwa wasichana.
3. Wavulana na wasichana ambao hawana vigezo vya namba 2 hapo juu waelekezwe kwenda kupata masomo ya vyuo vya ufundi.
4. Serikali itoe maelekezo ya udahili kwa vyuo. Ili kwanza iweze kutoa mikopo stahiki na pia kujihakikishia nafasi za ajira kwa wanaohitimu.
5. Vigezo dhabiti viwepo kuthibiti wanafunzi wanojiunga na kidato cha tano.