Kuwa specific na unachoomba kwani uzuri wa wimbo uko kwa msikilizaji. Unataka kwaya au Kaswidah? Unataka za mapambio au maombolezo? Taarab au Bongo flava?
Mkuu, hebu kuwa na huruma basi. Usimkatishe tamaa kiasi hicho kwani inawezekana yuko serious na ombi lake. Pamoja na hayo, asante kwa kunifanya nicheke manake sikutegemea kabisa jibu kama hilo. Ha ha ha ha ha!!!!!!