Sinza Mori

kama mimi

Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
23
Reaction score
3
Wakuu hivi ni kwanini Sinza Mori imekuwa ni kijiwe kikuu cha machangu?
 
Yeah mkuu nimefanya.kuanzia meeda bar mpaka hapa karibu na big born petrol station ni balaa
 
Maisha yamekua magumu. Wameona hiyo ndio njia rahisi yakujipatia kipato
 
halafu wanaanza mapema pale big boni sa moja mi wanashangazaga na kuita watu nadhani pale makutano ya barabarani
 
Wewe umejuwa je kama ni kweli tupe taarifa wanakaa je na inkuwa je?
 
Inaoneka ni mazingila yanaruhusu kufanyika kwa biashara hiyo!!!
 
Tena midada ya haja halafu hapohapo kuna gesti hausi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…