Dah.... Single bongo bana.?.omba ikae na simu yake kwa saa moja tu.. . Tusidanganyane...
Love of my lifeNko hapa babe mchepuko wangu
Kweli kabisa kama vipi tufanye miadi tu kesho tukasingoane vyemaHahahaa
Muogope Mungu bas.
Yaani unafanya kile kile nlcho sema.
The one and onlyLove of my life
Valentine inakuwaje sasa?!The one and only
Tuweke miadiKweli kabisa kama vipi tufanye miadi tu kesho tukasingoane vyema
Ŝi tutaenda kubebikaValentine inakuwaje sasa?!
Ntaka twende kwny bata moja matata special kwa ajili ya valentine...boat tripŜi tutaenda kubebika
Dah kumbe PM mbali sana,hufiki tu.Twende tukayajenge
U singo mwishowe tuugue tuitwe central buree wakati kila kitu kinawezekanaTuweke miadi
Tuka burudike bhana u singo siyo mzuri kwa kweli
ndo namalizia kumsajili, kasema yupo singo..
Kwel ehe.Ntaka twende kwny bata moja matata special kwa ajili ya valentine...boat trip
Twende tukayajenge
Kijana kuwa makini na shemeji zako utaishia pabaya
nilitaka kuja pm lakin duuh! nitang'olewa kucha bureKwel ehe.
I'm sorry bro nimeacha wanaendeleza wengine huko