Mim pia nipo singleHahaha
Uzi tutadanganyana huu hadi tutajuta.
Kila mtu atakuwa single hapa
Nakuaminia huwa ukosei [emoji106] [emoji106] !!!single or double??[emoji4] [emoji4] tukutafutie mpendwa ww!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28]
Namsaidia asiendelee kuwa single
Mtoto kakubali kabisa wakayajenge, bado jamaa anataka afuatwe. Nimeona atasubiri sana, namchangamsha.
Daby hajaniulza swali halafu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilitaka kuchafua hali ya hewa mkuu dah,hakuna dhambi kubwa kwa me kma hyo nilofanya!!!ila kanisamehe!!![emoji16] [emoji16] nilikusoma mkuu nikasema ngoja nikae pemben nione kifuatacho!
Dah... Usijichanganye... Kuna kuwa single na kuwa na "mtu/watu"[emoji12] [emoji12]Mmh sijui am single,married or divorced, poor me!
HahahaaMim pia nipo single
HahahaNakuaminia huwa ukosei [emoji106] [emoji106] !!!single or double??[emoji4] [emoji4] tukutafutie mpendwa ww!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume hatupendi kabisa hiyo kitu... ungekutana mla ngada saiv pasingetosha humu ndani!! mimi ninge[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilitaka kuchafua hali ya hewa mkuu dah,hakuna dhambi kubwa kwa me kma hyo nilofanya!!!ila kanisamehe!!!
unaandika nn
Basi tuluke pamoja [emoji12]Mi mwenyewe wanawake wameniacha, sisi ni ndege wafananao[emoji4]
Dah... Usijichanganye... Kuna kuwa single na kuwa na "mtu/watu"[emoji12] [emoji12]
Nko hapa babe mchepuko wangu [emoji7]Mm nipo single kwa sababu miss blossom hanitaki
Sijui kajificha wapi huyu mtoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo namalizia kumsajili, kasema yupo singo..Mm nipo single kwa sababu miss blossom hanitaki
Sijui kajificha wapi huyu mtoto