Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,175
- 72,245
Kweli ili be hacked?Mzima kabisaaaa.....anakisalimia.
Somebody hacked my account.
Sawa sawaKua single kunakusaidia kupunguza vitu vingi...walau unajipa nafasi ya kuamua na kufanya maisha yako!
Unajipa nafasi ya kujielewa zaidi ..na kujua nn unataka hasa hasa...sio kila alie ktk uhusiano yuko in safe side!! Wengine mpaka utawaonea huruma....
Thanks God am single...and waiting for the Lord's time, ooh the perfect time!
Can somebody say Ameeen over there!?