umeanza na misemo yako sijui umaanisha nn hhahhaaha ha ha ha itafahamika tu ni mwendo wa grand malt asubh mpaka jion full gundi
Yangu ipo correctHalafu mjue kuna singeli na single..
achana na habari za bonny anataka kuharibu tuHunitakii au ulinificha bonny mlitangaziana ndoa asubui...kama mlipanga mnifumanie hamnipati ng'ooo
Hehe.. leave words put the music
Kiagize vizuri maana kinaweza poteaa njiaNimetuma king'ora kinakuja kukuchukua
mtoto mdogo huyo anazaliwa namuona anakua namchungulia ana vunja ungo tuna.........Waondoka leo twaingia leo shekh.
Shuni mtoto wa kitanga wanielewa eeeh?
umeanza lini kutonitakamie hata simtak
Waondoka leo twaingia leo shekh.
Shuni mtoto wa kitanga wanielewa eeeh?
malizia babamtoto mdogo huyo anazaliwa namuona anakua namchungulia ana vunja ungo tuna.........