Menapitatu Senior Member Joined May 12, 2013 Posts 195 Reaction score 86 Oct 23, 2013 #1 habar zenu wana jf.... Me natafuta chumba cha kuish (kupanga) single room.Me nipo Misungw kwa sasa kama upo misungw una info zozote plz tuambiane coz misungw madalali hakuna
habar zenu wana jf.... Me natafuta chumba cha kuish (kupanga) single room.Me nipo Misungw kwa sasa kama upo misungw una info zozote plz tuambiane coz misungw madalali hakuna
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Oct 24, 2013 #2 nenda kwa mzee Ngobweta atakusaidia pale karibu na darajani