Kuolewa sio bahati nyi watu mbona mnakariri misemo...kwann kuolewa iwe bahati? kwamba mmejiharibu sanaaaa kiasi kwamba wanaume wanashindwa kuwaoa? mimi kwangu kuolewa ni kawaida tuu kama kuamua mambo mengine kwann uite bahati..labda kwa mlioharibu maisha yenu sasa wanaume ata awawezi kuwataka tena kwa ndoa. Kama unaona kuolewa ni bahati ujue something is wrong somewhere.