Wakuu nawasalimu sana
Hii nchi ya ajabu sana nimeshuhudia leo vijana wakikimbizwa kama mbuzi kisa tu wakashiriki mgambo na mbaya zaidi akina mama ntilie nao wanajitafutia riziki lakini mnawafukuza nimewaona hawa jamaa waajabu, sheria inasemaje juu ya mgambo na je ni halali kuwalazimisha watu namna ile? Mnaofanya hayo acheni mara moja mkiendelea mtayaona mambo.