Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,538 Aug 4, 2022 Thread starter #41 Mwifwa said: Singida United ilimekufa kifo cha Mende, naiombea hii isije ikafuata nyayo hizo. Click to expand... Mkuu wamefanya usajili hawa Singida Big Stars kazi ipo ligi kuu
Mwifwa said: Singida United ilimekufa kifo cha Mende, naiombea hii isije ikafuata nyayo hizo. Click to expand... Mkuu wamefanya usajili hawa Singida Big Stars kazi ipo ligi kuu
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,538 Aug 4, 2022 Thread starter #42 Dk 26 ZANACO wanafanya offside ya aibu
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,538 Aug 4, 2022 Thread starter #43 ZANACO wanashambulia kama nyingu mashambulizi ya kudonoa na kusepa
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,538 Aug 4, 2022 Thread starter #44 Wawa anaonyesha kiwango chake kwamba nimecheza CAF mara nyingi tu ila jezi ya njano haimpendezi
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 6,001 Reaction score 4,324 Aug 4, 2022 #45 Dabil said: Mkuu wamefanya usajili hawa Singida Big Stars kazi ipo ligi kuu Click to expand... Usajili wa wachezaji waliochoka Wawa Kagere Amisi Tambwe Kaseke
Dabil said: Mkuu wamefanya usajili hawa Singida Big Stars kazi ipo ligi kuu Click to expand... Usajili wa wachezaji waliochoka Wawa Kagere Amisi Tambwe Kaseke
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,721 Reaction score 126,568 Aug 4, 2022 #46 Dabil said: Huwezi kujua labda jamaa ana plan b kwenye uwekezaji anajitosa rasmi kwenye biashara au anatakatisha fedha Click to expand... Mwigulu yumo Big Star? Singida United kumbe aliitelekeza
Dabil said: Huwezi kujua labda jamaa ana plan b kwenye uwekezaji anajitosa rasmi kwenye biashara au anatakatisha fedha Click to expand... Mwigulu yumo Big Star? Singida United kumbe aliitelekeza
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 7,507 Reaction score 11,740 Aug 4, 2022 #47 pandagichiza said: Usajili wa wachezaji waliochoka Wawa Kagere Amisi Tambwe Kaseke Click to expand... Tuwasubiri kwenye ligi
pandagichiza said: Usajili wa wachezaji waliochoka Wawa Kagere Amisi Tambwe Kaseke Click to expand... Tuwasubiri kwenye ligi
mshale21 JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 2,514 Reaction score 6,070 Aug 4, 2022 #48 mzabzab said: Ah hapo mmilikiwa timu atasema waachieni wabingwa wa nchi wapate point tatu Click to expand... Kashaandaa bahasha ya kaki?
mzabzab said: Ah hapo mmilikiwa timu atasema waachieni wabingwa wa nchi wapate point tatu Click to expand... Kashaandaa bahasha ya kaki?
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 7,507 Reaction score 11,740 Aug 4, 2022 #49 Mwifwa said: Mwigulu yumo Big Star? Singida United kumbe aliitelekeza Click to expand... Ndo hiyo hiyo, uongozi ni uleule na mmiliki ni yuleyule. Kifupi hao ndo Singida United.
Mwifwa said: Mwigulu yumo Big Star? Singida United kumbe aliitelekeza Click to expand... Ndo hiyo hiyo, uongozi ni uleule na mmiliki ni yuleyule. Kifupi hao ndo Singida United.
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Aug 4, 2022 #50 tracebongo said: Ndo hiyo hiyo, uongozi ni uleule na mmiliki ni yuleyule. Kifupi hao ndo Singida United. Click to expand... Ila iliyewapa wazo la kuita timu singida big stars kwa kweli kawaingiza chaka...jina halina mvuto
tracebongo said: Ndo hiyo hiyo, uongozi ni uleule na mmiliki ni yuleyule. Kifupi hao ndo Singida United. Click to expand... Ila iliyewapa wazo la kuita timu singida big stars kwa kweli kawaingiza chaka...jina halina mvuto
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,538 Aug 4, 2022 Thread starter #51 Mwifwa said: Mwigulu yumo Big Star? Singida United kumbe aliitelekeza Click to expand... Kwa mlango wa nyuma
Mwifwa said: Mwigulu yumo Big Star? Singida United kumbe aliitelekeza Click to expand... Kwa mlango wa nyuma
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Aug 4, 2022 #52 mshale21 said: Kashaandaa bahasha ya kaki? Click to expand... Wala hamna shida ya bahasha wakati singida anacheza na yanga
mshale21 said: Kashaandaa bahasha ya kaki? Click to expand... Wala hamna shida ya bahasha wakati singida anacheza na yanga
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,538 Aug 4, 2022 Thread starter #53 mzabzab said: Ila iliyewapa wazo la kuita timu singida big stars kwa kweli kawaingiza chaka...jina halina mvuto Click to expand... Jina la hovyo kweli ya kishamba ,kama vijana wa o- level wanavyojitungia a.k.a bila vision,nadhani lengo lilikuwa lazima jina iwe Singinda
mzabzab said: Ila iliyewapa wazo la kuita timu singida big stars kwa kweli kawaingiza chaka...jina halina mvuto Click to expand... Jina la hovyo kweli ya kishamba ,kama vijana wa o- level wanavyojitungia a.k.a bila vision,nadhani lengo lilikuwa lazima jina iwe Singinda
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Aug 4, 2022 #54 Ila huyu tambwe naona kama yupo slow sasa...umri haudanganyi....mipira kama mitatu ya kugombanianna beki anashindwa
Ila huyu tambwe naona kama yupo slow sasa...umri haudanganyi....mipira kama mitatu ya kugombanianna beki anashindwa
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,538 Aug 4, 2022 Thread starter #55 Naona kama Wawa anang'ara vile
mshale21 JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 2,514 Reaction score 6,070 Aug 4, 2022 #56 Dabil said: Huyu mshambuliaji Mbrazil ana umri gani ,naona ana idea ya kutafuta goli ,akiendelea hivi Singida watalia Click to expand... Sijaelewa, ana idea ya tafuta goli lake au Hana idea ya kulenga nyavuni kwa mpinzani?
Dabil said: Huyu mshambuliaji Mbrazil ana umri gani ,naona ana idea ya kutafuta goli ,akiendelea hivi Singida watalia Click to expand... Sijaelewa, ana idea ya tafuta goli lake au Hana idea ya kulenga nyavuni kwa mpinzani?
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,538 Aug 4, 2022 Thread starter #57 mzabzab said: Ila huyu tambwe naona kama yupo slow sasa...umri haudanganyi....mipira kama mitatu ya kugombanianna beki anashindwa Click to expand... Hadi ana upara na umri wa kibongo unaweza kukuta ana hata miaka 50
mzabzab said: Ila huyu tambwe naona kama yupo slow sasa...umri haudanganyi....mipira kama mitatu ya kugombanianna beki anashindwa Click to expand... Hadi ana upara na umri wa kibongo unaweza kukuta ana hata miaka 50
mshale21 JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 2,514 Reaction score 6,070 Aug 4, 2022 #58 Dabil said: Hadi ana upara na umri wa kibongo unaweza kukuta ana hata miaka 50 Click to expand...
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,721 Reaction score 126,568 Aug 4, 2022 #59 tracebongo said: Ndo hiyo hiyo, uongozi ni uleule na mmiliki ni yuleyule. Kifupi hao ndo Singida United. Click to expand... Unamaanisha jina limebadilishwa na kuwa Big Star badala ya United iliyoshukaga daraja?
tracebongo said: Ndo hiyo hiyo, uongozi ni uleule na mmiliki ni yuleyule. Kifupi hao ndo Singida United. Click to expand... Unamaanisha jina limebadilishwa na kuwa Big Star badala ya United iliyoshukaga daraja?
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,538 Aug 4, 2022 Thread starter #60 mshale21 said: Sijaelewa, ana idea ya tafuta goli lake au Hana idea ya kulenga nyavuni kwa mpinzani? Click to expand... Angalia anavyojiweka utaona anajua ila naona mechi inavyoenda anapotea
mshale21 said: Sijaelewa, ana idea ya tafuta goli lake au Hana idea ya kulenga nyavuni kwa mpinzani? Click to expand... Angalia anavyojiweka utaona anajua ila naona mechi inavyoenda anapotea