UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Kweli kabisa kaka sioni maana ya mziki singeliGuys kwema
Hivi kweli wataalamu na waandaaji wa muziki mziki wa Singeli uko kwenye kundi gani? As in Jazz,Rock,Pop,Hiphop,Reggae,Rhumba,tchatcha?
Maana ile speed ya BT na speed ya uimbaji dooh sio kwa kelele zile
Nimejaribu kujiuliza wanaopenda aina ile ya mziki wanafurahishwa na nini hasa sijapata majibu mpaka leo nimebaki Nikishangaa
Cha ajabu kuna wimbi la watu wanaopenda mziki huo, maana mziki Kwa asili hupunguza stress lakini huu mziki binafsi zile BT zake nkizisikia ni zaidi ya stress kwangu au ao waimbaji wake ukiwasikia wanavyopiga kelele
Cha ajabu najiuliza watu wanaelewaje zile kelele...?
SijaelewaKweli kabisa kaka sioni maana ya mziki singeli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naunakuta wanaenjoy eti[emoji23] [emoji37] [emoji37] Style ya uchezaji wake sasa ndio komesha. Utafikiri upo kwenye mashine za gym
Sio kwa kelele zile na uchezaji wa mapanga ule kwanza Singeli ni wahuni tuhata bongo fleva ilipoanza Wazee walisema hivyo hivyo.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mashine ya gym[emoji23] [emoji37] [emoji37] Style ya uchezaji wake sasa ndio komesha. Utafikiri upo kwenye mashine za gym
rap/hiphop(baba mzazi wa bongofleva)ilikua na ujumbe na midundo inayoshawishi,singeli ni moja ya aina za sauti ambazo CIA hutumia kutesea ili muhojiwa aseme kwelihata bongo fleva ilipoanza Wazee walisema hivyo hivyo.....
Ahsanterap/hiphop(baba mzazi wa bongofleva)ilikua na ujumbe na midundo inayoshawishi,singeli ni moja ya aina za sauti ambazo CIA hutumia kutesea ili muhojiwa aseme kweli
Kwa nini singeli ilibakie kuwa singeli na badala yake uanze kutaka kuifananisha na style ya miziki hiyo uliyoainisha?Guys kwema
Hivi kweli wataalamu na waandaaji wa muziki mziki wa Singeli uko kwenye kundi gani? As in Jazz,Rock,Pop,Hiphop,Reggae,Rhumba,tchatcha?
Uwaupload hapa niusikie kidogo mkuuNiko nasikiliza Sumu ya Panya by Dogo Nigga Simela...
Singeli tamu sana jamani..!!!