Sinema hii Imeishia wapi?

Tanzania ya leo kila mwanasiasa ni mfanyabiashara.
Mfanyabiashara anaangalia faida yake mwenyewe na kamwe haangalii maslah ya Taifa
 
ngoma bado inogile mmoja alibwaga manyanga akaona haitoshi akitshia kumwaga mboga hadharani huku wakimsihi arudi kupiga kampeni kule igunga yaani alimeza matapishi yake .hao wawili wamegoma kuachia ngazi huku wakiwa na sababu kibao mmoja akisingizia kupata tusenti tudogo tu bilioni moja amabavyo havimtoshi hata kwa kula wiki kadhaa ,huku jamii ikiwatizamo na misimamo yao isiyo na dhihaka ndani yake ,mwingine akadai sio yeye anasingiziwa eti jamii ina wivu na kitumbua chake cha uwaziri wa juu ,jamii ikaona ngoja yeye kapata ngoja na sisi tumwage ugali .ikawa hivyo mchuzi kule ,,.....ugali kule hauzoleki huku wanajamii wengine wakawa wanacheka huku wengine tumenuna kabisa tukitafakari nini cha kufanya na wapi pa kupoozea hasira zetu kwa sababu jamii haitaki mchezo na sisi,,,,,,..............tukaona tutubu dhambi zetu kanisani ,misikitini bado tu wanajamii wanatukodolea macho eti tunanuka visenti cents............move bado inaendele 2015 .......
 
Mkuu Bujibuji hawa jamaa ndo wanaoi-direct na kui-produce movie na sterling ndo akina Presidaaa & co.. Mwisho wa ciku producers ndo wanalamba dume..
 
Nimejifunza kitu hapa, ndevu uchafu, heshima pesa tena ziwe vijisenti uswiss! Check washkaji walivyokwangua ngaza!
Mimi nimejifunza kuwa mvi bila pesa ni uzee.
Hivi mvi zinaleta busara au busara zinaleta mvi?
 
Umejuaje? mmojawapo wa hawa wakiingia magogoni hapa Magogoni hapakaliki !.
 
CINEMA HII IMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!:shut-mouth:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…