Wanajf,tatizo langu ni kwamba nashindwa kutongoza,nina miaka 25 mpaka leo nimewachapa madem wawili tu,na toka tuachane na wa mwisho wapata mwaka mmoja na nusu,sasa sielewi kuwa swaga zangu finyu au kitu gani mana hata akinukubalia nitakosa kuchapa,pia naomba mnisaidie njia ya kuimuingilia demu kwa siku ya kwanza unaetaka kumtongoza kwani nahisi hapo ndo navuruga kabisa.nawasikiza!

Ha ha udomo zege kazi sana nyie ndo mnaishia kuwala mifugo na wanyama nyie,kama umeshindwa kutongoza mtaani kwenu utaweza JF?Nenda facebook huko ukajifundishe kutongoza au ukishindwa endelea kupiga puli
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wanajf,tatizo langu ni kwamba nashindwa kutongoza,nina miaka 25 mpaka leo nimewachapa madem wawili tu,na toka tuachane na wa mwisho wapata mwaka mmoja na nusu,sasa sielewi kuwa swaga zangu finyu au kitu gani mana hata akinukubalia nitakosa kuchapa,pia naomba mnisaidie njia ya kuimuingilia demu kwa siku ya kwanza unaetaka kumtongoza kwani nahisi hapo ndo navuruga kabisa.nawasikiza!
Nakujibu kwa uzoefu nilionao kuhusu ulivyo. Huenda ikawa unawaogopa wasichana na hata hao ulio wapta huenda walikutamani pia ndio maana ukawapata kirahc, na hi husababishwa na kujitenga nao au mazingira uliokulia yalichangia ww kuwaogopa so inabidi ujiamini mbele yao na uwe karibu nao utafanikiwa
Mie nitakusaidia maana Naona wengi wanakuzodoa usije Baka bure wakati uliomba msaada!!. Moja Kubwa unalotakiwa kufanya ni KUJIAMINI mwanamke yoyote Yule anahitaji Mtu mwenye KUJIAMINI na unaweza kujenga mazoea madogo madogo kwanza ili aweze kuzoeana na wewe na usiwe Mtu wa kujisifia mbele yake au kujichekesha chekesha! Mara nyingi wasichana hawapendi Mtu ambaye anajidai anajua Kila kitu fikilia kabla ya kusema! Akisha onyesha dalili za kuwa Karibu na wewe unaweza Mtoa out! Maybe cinema or some where sio kwenye mabaa hovyo hovyo!! Baadae unaweza ukamwambia Kama mnaweza kuwa together Kwani unavutiwa nae jaribu kumsifia pia! Usionyeshe una haraka ya kumweleza kilichopo moyoni na kumbuka siraha ni KUJIAMINI. Kitu kingine lazima uisome saikolojia yake! Taratibu utaanza kujenga kitu baina yenu taratibu nae anavutika kwako!!
Hivi unataka upewe ujanaja wa kufanya haram? unanshagaza!
Badala ya kusema unatafuta mchumba unataka kuoa? eeeh kijana, tubu kwa mola wako na anakuepusha na mabalaa lakini hujijui hujitambui.
Mara ya kwanza Mwambie unapenda muwe kama rafiki mkishazoeana mtamkie kuwa unampenda atakukubalia tu.