kwenye familia yetu tumezaliwa 6 mimindio wa 6 watoto wotebaba yao ni mmoja kasoro mimi wa mwisho nilizaliwa baadae baada ya mama na baba0kuachana wote tumelelewa na mama tuu tokea utotoni tunaishi vizuri
nashangaa sasahivi wenzangu wanaplan yakujenga nyumbaya ushirikiano wao wa5 kasoro
mimi iwe na vyumba vi5 eti kilamtu chake wakiongeza cha 6 ni kwaalili ya mama basi, sio siri nimejisikia vibaya sana walivyonitenga wote niwatu wazima na tunamaisha yetu lakini kwanini mimi wamenibagua?
nashukuru sana kwakunifariji ni kweli inawezekana badae ikaja ikawanukia0wenyeweKwanza katika mambo yanayonikera ni kujenga nyumba kwa kuchangia like eti ya FAMILIA mfano kila mtu na chumba chake..Kiukweli bora hata ambavyo hawajakushirikisha manake itakuja tu kuwasumbua baadaye kwenye urithi. Nyumba haishewi bwana..ama iwe yako au ya fulani. Na alimradi hawajakushirikisha hamaanishi wamekufukuza..wewe hapo pachukulie kama kwenu na utakuwa unakuja tu kutembea, kikubwa kama walivosema wadau huko juu wewe tafuta KWAKO!..Yamewahi kunikuta na hii naongelea from experience.!..Chungulia kama changamoto, itakusaidia..na don't take it as an offence!
wewe huyu ni mwanamke anaitwa latifa tena mwanamama.sikia kaka...hapo huna ndugu.potezea na wala usioneshe kujari,maisha sio lazima ndugu,marafiki ndo wawe nduguzo
naogopahata kuwauliza maana watanijibu mbovu nazani halafu nita0 umia zaidi nimeamua0 kujifanya
mjinga tuu ndio maana nimekimbilia huku kuomba ushauri.
kwenye familia yetu tumezaliwa 6 mimindio wa 6 watoto wotebaba yao ni mmoja kasoro mimi wa mwisho nilizaliwa baadae baada ya mama na baba0kuachana wote tumelelewa na mama tuu tokea utotoni tunaishi vizuri
nashangaa sasahivi wenzangu wanaplan yakujenga nyumbaya ushirikiano wao wa5 kasoro
mimi iwe na vyumba vi5 eti kilamtu chake wakiongeza cha 6 ni kwaalili ya mama basi, sio siri nimejisikia vibaya sana walivyonitenga wote niwatu wazima na tunamaisha yetu lakini kwanini mimi wamenibagua?
Mkuukwenye familia yetu tumezaliwa 6 mimindio wa 6 watoto wotebaba yao ni mmoja kasoro mimi wa mwisho nilizaliwa baadae baada ya mama na baba0kuachana wote tumelelewa na mama tuu tokea utotoni tunaishi vizuri