Kwa hiyo bajeti, Utapata pc yenye HDD3.Iwe HDD au SDD na kwann?
Wakuwekee Win 10.C.Operating system etc
Angalau 8GBB.RAM & Software
Kwa bajeti yako utapata ya 500GBA.had drive capacity (speed) gani?
Dell, HP - zina sifa moja ya kuvumilia shida.1.brand gani itafaa Zaid
Ndio utapata USED.2.Kwa bajeti yang naweza nkapata PC yenye
But Kuna mtu kaniambia nisianze na window 10 nianze chini dhen ntapanda later on...Kwa hiyo bajeti, Utapata pc yenye HDD
Wakuwekee Win 10.
Angalau 8GB
Kwa bajeti yako utapata ya 500GB
Dell, HP - zina sifa moja ya kuvumilia shida.
Ndio utapata USED.
Sio logic ya huo ushauri uliopewa.But Kuna mtu kaniambia nisianze na window 10 nianze chini dhen ntapanda later on...
Ndgu zangu habar zenu,
Mimi Ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza nna laki5 ninataka kununua PC, lakini sna knowledge nazo Sana najua wengi humu mnaweza kunisaidia.
1.brand gani itafaa Zaid (with better software, storage , lifespan, etc.)
2.Kwa bajeti yang naweza nkapata PC yenye
A.had drive capacity (speed) gani?
B.RAM & Software
C.Operating system etc
3.Iwe HDD au SDD na kwann?
Mwenye knowledge anaweza akanishauri ntashukuru Sana asanteni.
Ulishawai kununua pc kwake?Andaa kama 600k hivi kisha mcheki huyu mshkaji, ana mali kal sanaa hadi kwa sisi wa uchumi wa kati, ila tu yupo A town View attachment 2153492
Binafsi sijanunua, ila ninao watu niliwapendekezea wakaenda kununuaUlishawai kununua pc kwake?
Laki 5 pc nyingi SanaNdgu zangu habar zenu,
Mimi Ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza nna laki5 ninataka kununua PC, lakini sna knowledge nazo Sana najua wengi humu mnaweza kunisaidia.
1.brand gani itafaa Zaid (with better software, storage , lifespan, etc.)
2.Kwa bajeti yang naweza nkapata PC yenye
A.had drive capacity (speed) gani?
B.RAM & Software
C.Operating system etc
3.Iwe HDD au SDD na kwann?
Mwenye knowledge anaweza akanishauri ntashukuru Sana asanteni.
Desktop na mwanachuo wapi na wapi?Chukua desktop used, vizuri zaidi ukipata brand kama dell , model ya optiplex ya miaka ya hivi karibuni yoyote kama vile 3020, iwe full tower au small form factor. Usichukue model za zamani
Processor core i5
RAM utapata 4GB ambayo sio mbaya.
Hard disk 500GB
View attachment 2153192
View attachment 2153193
Nadhani wataalamu wenyewe ndo hawa,Kama unahitaji la ziada labda kwa kina Chief Mkwawa,,,Ila nikishaiona comment ya huyu mwamba na Chief me napigia mstari....Kwa hiyo bajeti, Utapata pc yenye HDD
Wakuwekee Win 10.
Angalau 8GB
Kwa bajeti yako utapata ya 500GB
Dell, HP - zina sifa moja ya kuvumilia shida.
Ndio utapata USED.
Kuna jembe moja humu ni hazina sana CHIEF MKWAWANdgu zangu habar zenu,