Sina Jipya nawasalimu

silent_soldier

Senior Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
193
Reaction score
62
Tangu nijiunge JF Leo kwa Mara ya kwanza nimepita kwenye hii Forum.

Sikujua kuwa JF kuna Forum kama hii, sasa nikawa nabofya bofya nikafika huku. Tangu alfajiri ya saa 9 niko macho kodokodo masoma thread zenye mikasa ya watu, nk Huku mikasa mingine ikiendana na ambayo inanikuta mara kwa mara.

Hahahhahahaha LOL

Wengine tumezoea kule kwenye Uchaguzi Tanzania na Jukwaa la Siasa lakini hakuna mbayaaaa.

Basi nawasalimu wote habarini za asubuhi, kuweni amani...
 
Mpunguze jazma kule siasani nasi tuje.

Yani kule ukipingana mawazo na kikundi flani utalamba matusi siku nzima.

Nyumbu wanakera sana.
 
Mpunguze jazma kule siasani nasi tuje.

Yani kule ukipingana mawazo na kikundi flani utalamba matusi siku nzima.

Nyumbu wanakera sana.

Nyumbu wanajitoa hufaham.hawatumii akili zao tena, wamekuwa wafuasi wa watu. Unapokuwa mfuasi wa mtu mwingine basi kila kitu anachosema huyo unaye mfuata ni sasa.
 
Nyumbu wanajitoa hufaham.hawatumii akili zao tena, wamekuwa wafuasi wa watu. Unapokuwa mfuasi wa mtu mwingine basi kila kitu anachosema huyo unaye mfuata ni sasa.


Imefika wakati unashindwa kupost chochote, kuhofia matusi. Mbaya sana.
 
Mpunguze jazma kule siasani nasi tuje.

Yani kule ukipingana mawazo na kikundi flani utalamba matusi siku nzima.

Nyumbu wanakera sana.

We mwenyewe ushatukana, wawezaje muita binadam mwenzio nyumbu.....!? Ustaarabu unaanza na wewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…