Habari Baba paroko.
Ukiumizwa ukaweza kuinuka na kusonga mbele ni jambo jema sana na la faraja hasa kama huko mbele kukiwa na ahueni,ila kama kila unakoingia wewe ni maumivu tu unaweza uamue kutundika daruga tu maana maumivu ya kila siku badala ya kukua unajikuta unadumaa sasa.
Ahsante lakini kwa ushauri.
Kwenye maisha kila mara huwa kuna mambo ambayo huja na huwa sio yale ambayo tumeyatarajia,yanapokuja haya kutuvunja moyo sana na wakati mwingine huona maisha kama hayana maana kabisa .....
Kuna mengi sana ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ambayo ni ya kuumiza sana,kuna jambo moja kubwa sana hatujalijua kwenye haya ambayo yanatuumiza,kimsingi na kiuzoefu mara nyingi kama sio zote yale ambayo yanaumiza ndio yanakuwa na faida kubwa sana kwetu,lakini kwa kuwa tumekuwa tukiyaangalia kwa jic ho baya ndio maana tumeishia kuyachukia na kukosa kabisa yale mazuri ambayo ndio malengo makuu ya mambo hayo kutokea
Katika maeneo ya maisha ambayo mengi hutokea mojawapo wa eneo hilo ni mahusiano ya kimapenzi
Kwenye mahusiano ya kimapenzi maran yingi kuna kuumizana,kuumizana kunatokea pale ambapo mwenzako anapokuacha bila ridhaa yako au mwenzako anapokwenda kutoa au kufanya jambo ambalo kwa kanuni za mahusiano ambazo sio rasmi hakutakiwa kulifanya au kumfanyia mwingine menye jinsia kama yako
Matukio haya yanapotokea hapo ndipo tunafikia kufikiri mambo mengi sana hadi kufikia kuona maisha hayana maana,wengi ambao wanafikwa na hitimisho hili ni wanawake,nimejaribu kufanya utafiti mdogo ambapo nimejadiliana na mabinti wengi kidogo ambao wengi wao wameamua kukata tamaa na kufikia kusema mwanaume ni mnyama,wengine wanasema kuwa hawana hamu kabisa na wanaume
Wanawake wamekuwa wakiamini kuwa wao ndio wanaotendwa zaidi kuloko wao wanavyowatenda wanaume,hili wamekuwa wakijidanganya kila uchao na kujiona wao sio watendaji,hili ni kosa kubwa sana la kwanza,kama wangejua kuwa na wao ni waendaji wakubwa huenda wangebadilisha namna ya kulitazama jambo hili,sisemi kuwa wanaume hawatendi,hapana wanawatenda sana wanawake kwa kiwango kikubwa sana lakini kule kufikiri tu kuwa wao ndio wanaotendwa zaidi ni kosa
Kosa la pili ni kule kuamua kuwa hawana haja tena na wanaume,hili ni kosa kwasababu kukata tamaa ni kitendo kibaya sana kwa binadamu,halafu unapotendwa na kuamua kukata tamaa hii ina maana hutaki kukua,nasema haya kwasababu kuumia kupo kwingi sana kwenye maisha na kama kila ukiumizwa na kuamua kuachana na jambo ambalo limekuumiza utaacha mangapi?Hata wazazi wako uliwaumiza sana hapo mwanzo na hawakukukatia tamaa na waliendelea tu kukushauri na hatimae leo umekuwa binti mwenye kutegemewa na jamii inayokuzunguka
Kuumizwa na ukakataa kukua unakuwa unagoma kukua kwasababu kupitia kuumizwa kule utakuwa umejifunza kuwa unatakiwa uwe makini na sio kwen da tu na kuamini kila mtu ni malaika,ukijifunza kupitia hili utaweza kuja kuwa mtu makini sana baadae na utaweza kutengeneza uhusiano imara sana,chukulia mfano mtoto anapoota meno,kama ataamua kukub ali maumivu ya kuota meno yamuangushe angewezaje kuja kufurahia utamu wa nyam a baadae? Yale maumivu ya kuota meno yamekuja kuzaa utamu wa nyama na sasa anaufurahia
Kimsingi kuogopa na kughairi kuingia tena kwenye mahusiano ni utoto na kukataa kukua,amkeni akina dada na jifunzeni kujifunza kupitia maisha haya kwenye eneo hili la mahusiano,ikumbukwe kuwa sio kweli wanaume hawaumizwi na kufikia hitimisho la kutojihusisha na mahusiano,bali nao wamo ila kwa utafiti wangu nimeona kuwa wahanga wa jambo hili ni wanawake zaidi....
Muwe na w/end njema ........!!

if your not tested,you can not be promoted!...acha muda na mazingira yaamueKwenye maisha kila mara huwa kuna mambo ambayo huja na huwa sio yale ambayo tumeyatarajia,yanapokuja haya kutuvunja moyo sana na wakati mwingine huona maisha kama hayana maana kabisa .....

unapenda njemba sana wewe?Ni kosa kubwa sana kutendwa na njemba/mrembo mmoja na kutaka kuwasusa njembas na warembo wote duniani.
i use to say that quote a lot ''wanaume wote ni wabaya'' au ''sina au sina ham na wanaume'' ilinitesa but i have learned to love my haters and move on. and life is full of suprises
thank uuuuuu sanaHongera kwa hili .....!!