Sina bahati ya kupendwa


asante kwa ushauri wako mkuu nitaufanyia kazi ushauri wako.
 

Vipi mkuu tangu ulipoweka hili tangazo ushapata viPM PM kama vingapi hivi vya wanaotaka ndoa?
 
Dini yako tofauti nngekupa msaada
 
nadhani hujawa tayari....angalia kwa makini unapotaka kuoa...mbona wa kuoa wapo wengi tu wanataka...ishu muendane pasion, intimacy commitment iwepo
 
Upendwe umekuwa hela Mkuu. Mie naona napenda hela tu.
 
Ishi na furahia maisha.
Miaka 32 bado sana.
Hadi miaka 45 unaweza kuoa.
 
Tafuta hela kaka kwani una hela Za kutosha hadi uumize kichwa kwa sabbu ya ndoa mungu atakupa wa kufanana na wewe lakini kama we mwenyewe maisha yako ya kuunga thn unataka mke alafu umri bado sanaaa
 

ukiona hayo ujue hata wewe haupo serious na unachofanya, hata nngekua mim npo na wewe na haupo serious ningekuacha tu......
 

Kama hauna bahati ya kupendwa basi juwa unabahati ya kuchukiwa,wenzako hawana bahati ya kupendwa wala kuchukiwa yaani hawanabahati kabisaa
 

Eti.... Hii ni kwa WANAUME TU?
Au kote?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…