Labda useme tatizo ni nini? Hamkufikia hapo overnight, something happened. Kuwa muwazi tujue tunaanzia wapiHabari.
Nimejikuta namchukia mke wangu.
Nimejikuta simpendi tena.
Kufupisha story kuna mwanamke niliibahatika kuzaa nae hivyo nikaamua niendelee kuishi nae na kutoa mahari kwao.
Ila kwa sasa tuna miaka 2 ila tabia alizoluwa nazo mwanzo tofauti na leo.
Amekuwa ni mtu wa matusi tena ya nguoni ,dharau ,kiburi ana matumizi mabaya ya hela ambayo yamenipelekea niwe mtu wa madeni maana mshahara wangu ni wakaiwada.
Mwanamke Mwenye kujinunisha,kukasirika na gubu na asiyekuwa na muda na ndugu zangu.
Kiukweli mambo ni mengi lakini naomba nifupishe nataka nimuache.
Ninavyoongea hivi Tuna wiki 2 hakuna anayeongea na mwenzake na tuna lala kitanda kimoja.
Ila anadai nikimuacha ataniua
Ndugu yangu mambo ya ndoa ni magumu sana na jibu sahihi hayana mshauri haya mambo banjuka nayo kulingana na yanavyokusibu kuachana nayo sio msingi mzuri wa familia japo hayashauriki ila kuna mzee mmoja muhuni alinipa mfumo, mwanamke hataki u baby ,sijui my love ,sijui my chocolate kwa sanaaa jitahidi uwe juu tangu mwanzo na onyesha tabia za kibabe au kiume tangu mwanzo ,ukileta umayai mayai sana lazima akuone anakumudu.. chukulia mfano mtu ambaye hamjazoeana lazima mtaheshimiana na kila mtu kukaa mbali na mwezie,Habari.
Nimejikuta namchukia mke wangu.
Nimejikuta simpendi tena.
Kufupisha story kuna mwanamke niliibahatika kuzaa nae hivyo nikaamua niendelee kuishi nae na kutoa mahari kwao.
Ila kwa sasa tuna miaka 2 ila tabia alizoluwa nazo mwanzo tofauti na leo.
Amekuwa ni mtu wa matusi tena ya nguoni ,dharau ,kiburi ana matumizi mabaya ya hela ambayo yamenipelekea niwe mtu wa madeni maana mshahara wangu ni wakaiwada.
Mwanamke Mwenye kujinunisha,kukasirika na gubu na asiyekuwa na muda na ndugu zangu.
Kiukweli mambo ni mengi lakini naomba nifupishe nataka nimuache.
Ninavyoongea hivi Tuna wiki 2 hakuna anayeongea na mwenzake na tuna lala kitanda kimoja.
Ila anadai nikimuacha ataniua
Tatizo ni kwamba jamaa hajawahi kumpenda, kamuoa kwa sababu kazaa nae tuu.Labda useme tatizo ni nini? Hamkufikia hapo overnight, something happened. Kuwa muwazi tujue tunaanzia wapi
Huyo hakufanyi kitu broo acha uoga, wanaopanga kukufanyia kitu kibaya hawaongei, huyo umekaa naye muda mrefu kwaio anakujua anakutisha tuu.Ila anadai nikimuacha ataniua
Alimuoa tu sababu kazaa nae, ndio tatizo lilianza hapo. He wasnt in love at the first placeTatizo ni kwamba jamaa hajawahi kumpenda, kamuoa kwa sababu kazaa nae tuu.
Wanaume sikuzote tunadhani Kuzaa na mtu ambaye siye sahihi ni janga la wanawake tuu, laiti tungalijua it is as twice as bad to us compared to women.