Dah! yaani Tanganyika ndio adui chong wa Zanzinzibar. teh tehteKama mlikuwa hamjui, adui chongo wa Znz ni Danganyika!
Hichi kijamaa nasikikia hujifanya hakimu kwa njia ya giza umeibiwa,umegongewa,umedhulumiwa unaenda kwake unashtaki,unaulizwa masuali mawili tu ,unataka vipi afe au atiwe adabu? unamwaga mapene umemaliza kazi unasubiri kuona mbaya wako anavyohama dunia au kufedheheka!