Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,501 Jan 11, 2013 #41 makavu said: mimi sion shida yy kusaidia sema aniweke waz nijue.na wala simkataz sema isiwe too much mpk na ye ajisahau aishiwe hela ya nyumbani.na nilishamwambia kwamb ukisaidia niambie sio kwa ubaya ili nijue. Click to expand... Dont be too weak, pangeni budget ya mwezi halafu kila mtu acontribute 50%; kwani wewe huhitaji kusaidia kwenu? Naona zama hizi wanaume wameamua kuwatumia wanawake kikweli kweli.
makavu said: mimi sion shida yy kusaidia sema aniweke waz nijue.na wala simkataz sema isiwe too much mpk na ye ajisahau aishiwe hela ya nyumbani.na nilishamwambia kwamb ukisaidia niambie sio kwa ubaya ili nijue. Click to expand... Dont be too weak, pangeni budget ya mwezi halafu kila mtu acontribute 50%; kwani wewe huhitaji kusaidia kwenu? Naona zama hizi wanaume wameamua kuwatumia wanawake kikweli kweli.