Mimi ni mdada nimeolewa na nina watoto.tatizo ni mume wangu kabadilika sana.Anataka nimsaidie majukumu yake kwa asilimia kubwa na wakati ana kipato kikubwa.nimegundua kuwa hela anazopata kiasi kikubwa kinaenda kwao kwa mzazi wake na ukimuuliza anakuw mkali.sijakataa yeye kusaidia familia yke lakin aangalie na yeye ni baba sasa anahitaji kujenga familia yake.kma alijua kuwa anamajukum kwao asingeoa akamaliza majukum yake kwanza.nimejaribu kuongea nae lkn haelewi.ananipa makwazo sana .nimfanyeje jaman wana jf.
kuna wanamme wengine unatakiwa uwa-let constant, afu u-differentiate. Ukipata jawabu ziro tu, mpotezee.
Ishi naye kwa huduma za usiku tu, maana hata ukiachana naye utagongwa na wengine bure wakupe magonjwa.
Bora huyu ni mwanamme suruali tu.
Vipi, chezo lake unalifurahia? Hapa ndo pa msingi.
Hasa kama familia haikuelemei, shida iko wapi? Fanya vya maana yeye anunue vitunguu, nyanya na chumvi.
Mimi ni mdada nimeolewa na nina watoto.tatizo ni mume wangu kabadilika sana.Anataka nimsaidie majukumu yake kwa asilimia kubwa na wakati ana kipato kikubwa.nimegundua kuwa hela anazopata kiasi kikubwa kinaenda kwao kwa mzazi wake na ukimuuliza anakuw mkali.sijakataa yeye kusaidia familia yke lakin aangalie na yeye ni baba sasa anahitaji kujenga familia yake.kma alijua kuwa anamajukum kwao asingeoa akamaliza majukum yake kwanza.nimejaribu kuongea nae lkn haelewi.ananipa makwazo sana .nimfanyeje jaman wana jf.
Mimi ni mdada nimeolewa na nina watoto.tatizo ni mume wangu kabadilika sana.Anataka nimsaidie majukumu yake kwa asilimia kubwa na wakati ana kipato kikubwa.nimegundua kuwa hela anazopata kiasi kikubwa kinaenda kwao kwa mzazi wake na ukimuuliza anakuw mkali.sijakataa yeye kusaidia familia yke lakin aangalie na yeye ni baba sasa anahitaji kujenga familia yake.kma alijua kuwa anamajukum kwao asingeoa akamaliza majukum yake kwanza.nimejaribu kuongea nae lkn haelewi.ananipa makwazo sana .nimfanyeje jaman wana jf.
Mleta mada na wewe unaonekana ni sehemu ya tatizo,maana lugha uliyotumia tu hapa ni ishara tosha.Huko ndani inaonekana balaa"......kama alijua ana majukumu asingeoa........"