Heri lee
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 981
- 538
Hali zenu vipi
Kuna demu nimependa sana na pia ni mrembo sana nilijaribu kumweleza but yeye anacheka tu na kuniulia nitaaminije ila anacheka tu.
Sasa yeye akiniona tu niko na manzi anakuja kunimaindi sana anakua na wivu but nimtongoza hatoi jibu.
Tatizo liko wapi kama huna ushauri pita hivi kejeli sitaki