PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,328
Dah kweli mwenye bahati habahatiki yaani unakuja kutuuliza ufanyeje kweli na kitendea kazi unacho!!!!Habari zenu,
Mambo yasiwe mengi ni hivi apa nilipopanga kuna binti makamu ya 23 ni mjamzito na kama ilivyo desturi watu wa aina hii huwa wanakuwa na upendo wakati mwingine na mtu fulani si kwamba anamuhitaji kihisia ila ni hali aliokuwa nayo ndio humpelekea kuwa hivyo.
Nisirefushe mada ni hivi huyu bi dada alitokea kunipenda kuwa karb na mda mwingi nikiwa nyumbani kutokana na hali yake na nilijua ni suala la kawaida kwa mtu wa aina hii na mm kuonyesha nathamini kampani yake nikajenga tabia ya kila nikitoka namuuliza nikuletee nn leo mama k basi akiniambia namletea na ukizingatia watu wa aina hii wanaenda vitu vidogo vidogo ambavyo kuafford ni rahis bas kila siku ikawa kama kamchezo bas mazoea yakazidi mpaka akawa ananiulizia kila wakati wa washkj na akiniona narudi ananifrahia mno kama mwana kamuana baba yote ayo nikachukulia kawaida na mara kibao kiutani nikawa namwambia jinsi unavyonipenda bila kitumbo iko ningeshakupitia wewe basi anacheka haongei.
Tukio lililotokea jana ni hivi uyu mama k wa 5months kaniita kanikumbatia kama dk 2 afu akanipa kiss ya kikubwa ile afu akaniambia nakupenda sana tena akaniambia usione ni Anko tumboni ananiendesha naongea hivi kutoka moyo aise nilipigwa na butwaa na sijaongea akaniambia ipo siku utaamini.
Sasa jamani mimi najua kumzoea maana ana mwanaume wake baba k na huwa anakuja mara moja moja na aliwahi kuniambia niangalizie uyu akanipa namba kwa kwa incase yoyote nimcheki na aliwahi kuniambia anaona ujauzito wake yani huyu mama k tofauti na yeye.
Sasa naona huu ni msala maana leo nimejitahidi kumkwepa mama k sana ila naona kanifuata mpaka maskani kwa washkji napata mtihani kweli mimi siwezi kukaa karbu ya huyu mtu sitaki mambo ya kulana kimasihara na mjamzito, nitajitaftia matatizo ila changamoto nitamkwepaje huyu mama k.
Au nifanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unawaelewa vilivyo wanawake eehKwa akili zao wanawake hakawii kukupa game alafu akuambie "nina mimba yako" 😆😆😆
Bwana wee huyu mwanaume anatuangusha kweli kweli.Dah kweli mwenye bahati habahatiki yaani unakuja kutuuliza ufanyeje kweli na kitendea kazi unacho!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
kabla sija comment ndio nilitoka kwenye ule uzi kule. Dah mwenyewe siwaelewagi bana 😅😅😅😅Kumbe unawaelewa vilivyo wanawake eeh
Dah kweli mwenye bahati habahatiki yaani unakuja kutuuliza ufanyeje kweli na kitendea kazi unacho!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ni bachelor sugu yaani stress free zone[emoji1]We sema kitendea kazi anacho kumbe ni mkeo[emoji23]
Mrembo akililia wembe unampa tu bila kuchukua maelezoBwana wee huyu mwanaume anatuangusha kweli kweli.
Hapo ni kumgegeda tuu huyo mrembo hamna namna tena nasikia ni watamu hao
Bwana wee huyu mwanaume anatuangusha kweli kweli.
Hapo ni kumgegeda tuu huyo mrembo hamna namna tena nasikia ni watamu hao
Kwanza naomba nianza na suala la kumla kimasihara, futa kabisa Hilo wazo. Na hiyo si kwasabab ya mama k ana Mimba Bali jarbu kuheshimu kijusi kilichomo ndani.
Kuhusu Kumpenda; kwa vile alishakwambia Neno "I love you" na tyr ushakuwa mtu mzima unajua mke wa mtu Ni Nan?, Faida na hasara za kudate nae. Hilo nakuachia mwenyewe uamue?
Ila siku ukifumuliwa marinda Usiache kurejesha mrejesho,, pia km ukiachana nae kihisia itakuwa safe zaidi kwako..
#Wagonjwa Corona wafikia 13 Tuendelee kuchukua tahadhari [emoji40]
Si unaona sasa mkuu ona kumbe hujawahi kula wajawazito fursa iyo deal nayo
Ukiwaelewa ujue unakaribia kufakabla sija comment ndio nilitoka kwenye ule uzi kule. Dah mwenyewe siwaelewagi bana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa wazungu neno i love u ni la kawaida sana, sijui kwa nini waafrika ukiambiwa hivo hasa jinsia tofauti tayari unafikiria kutongoza au kutongozwaKwanza naomba nianza na suala la kumla kimasihara, futa kabisa Hilo wazo. Na hiyo si kwasabab ya mama k ana Mimba Bali jarbu kuheshimu kijusi kilichomo ndani.
Kuhusu Kumpenda; kwa vile alishakwambia Neno "I love you" na tyr ushakuwa mtu mzima unajua mke wa mtu Ni Nan?, Faida na hasara za kudate nae. Hilo nakuachia mwenyewe uamue?
Ila siku ukifumuliwa marinda Usiache kurejesha mrejesho,, pia km ukiachana nae kihisia itakuwa safe zaidi kwako..
#Wagonjwa Corona wafikia 13 Tuendelee kuchukua tahadhari [emoji40]