Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. Kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy!
Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahisi kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu!
Nimfanyaje mke wa namna hii?
Mkeo kafariki?Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. Kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy!
Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahisi kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu!
Nimfanyaje mke wa namna hii?
Mkuu haijalishi alimjenga vipi tangu mwanzo, ila jua mume ni binadamu si Malaika, kama kayumba mke angedaka jukumu walau kwa muhula huo tu. Ila sio kujibu hivyo yaani ni kama kamkana mtoto. Dah, sorry to say this ila ingekuwa ni mimi kuanzia hapo ndoa ingepumulia mashine na hata mara ningekaa hata 2 years siendi. Naagiza ndugu nampa hela amfate mtoto kipindi cha likizo nikae nae likizo ikiisha namtuma ndugu amrudishe.^^
Inategemea tangu mwanzo,ulimjenga vipi,,kama uliona ni jukumu la kumsomesha mtoto unaliweza,pengine nae anakushangaa kwa nini umuhusishe.
..
Kauli kuwa mtoto ameandikwa jina la nani,si ya kupuuza.Imebeba mengi.Ila usichukue uamuzi wowote wa kutengana maana watoto watataabika.
^^
Dah, ingekuwa mimi nadhani ningezima gari nikasema safari ya maisha imeishia hapo. Jibu la ajabu sana hiloHii ndiyo life; nahapo ndiyo kianzio cha safari ya maisha .......
Kakaa!....KIBATIIIEdson vaa viatu vya baba wa familia na hudumia familia yako. Pesa za kina mama zinawatosha kwa saloon na kucheza kibati si vinginevyo
Fanya juu chini umchukue mkeo ishi nae kwenye dari mojaMimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. Kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy!