Whatsapp imetoa taarifa Kuna baadhi ya simu hazitaweza tena kupata au kutumia Whatsapp kuanzia octoba mwaka huu.
Watumiaji kuanzia version 5.1 na kuendelea wataendelea kutumia mtandao wa Whatsapp.whatsapp ni mtandao pendwa ulimwenguni ambao uliachiwa mwaka 2009.
Mwaka 2022 Whatsapp walizuia vifaa zaidi ya 49 kwa kuviondoa visiweze kutumia WhatsApp. Simu ambazo hazitaweza kutumia tena WhatsApp kufikia octoba 27.
Samsung Galaxy core
Samsung Galaxy trend lite
Samsung Galaxy ace 2
Samsung Galaxy s3 mini
Samsung Galaxy trend 11
Samsung Galaxy X cover 2
iphone 5 & iphone 5c
Huawei Ascend P1
Huawei Ascend Mate
Sony Xperia Arc S
Sony Xperia miro
Sony Xperia Neo L
Wiko Cink Five
Wiko Darknight ZT nk.
Kwaiyo kama simu Yako ni android version 5 au ios ya version 10 kushuka chini huu ndo mwisho wako wa kutumia Whatsapp.
Simu Yako imenusulika au lah tuachie maoni Yako? Vipi simu Yako android version ngapi ?