Kwa ninavyoelewa( kuhusiana na simu kuchemka) sidhani kama ku-upgrade kutoka simu za kiwango cha chini utafute ya gharama zaidi kwamba ziko ambazo ukifanya hizo kazi hazichemki, sidhani kama ziko.
Mimi natumia Xperia z3 na kuchemka kwake ni kama kawa hasa nikiwa nimewasha data.
Kitu nilichogundua ni kwamba, Android phone apps zake zinaconsume ram sana. Simu kuchemka ni matokeo ya ram kutumika sana.
Nikawa nafuatilia review ya hii simu mpya SGS7 Edge, ambayo ram yake ni 4GB, na wengi wanasema haichemki km simu nyingine.
Sasa sijui km ni kweli. Ila kwa simu ambazo sijawahi kusikia malalamiko kwamba zinaoverheat, lumia is the best.