Simu zinauzwa

FRGR

Senior Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
126
Reaction score
56
Nauza simu tecno f7 au A3 kwa sh 350k.

Samsung note 3 lwa sh 680k...nipigie 0713 190 118....
 
tecno f3 kwa hiyo bei? wakati R7 tsh 380-420k na phantom z tsh 500k
 
Akishakamilisha tangazo ndo atauza. Ila kwa sasa naona yuko break.
Atarudi baadae.

cc: Secret Service, djesco
 
Last edited by a moderator:
Akishakamilisha tangazo ndo atauza. Ila kwa sasa naona yuko break.
Atarudi baadae.

cc: Secret Service, djesco

anataka mumuulize upo wapi? picha? used au brand? hadi specifications? accessories? bei fixed?

huyu mgeni kwenye biashara
 
Last edited by a moderator:
nauza simu tecno f7 au A3 kwa sh 350k....samsung note 3 lwa sh 680k...nipigie 0713 190 118....


Mkuu Remote SIMU ulizokuwa ukitafuta hizi huku
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…