Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Ni kweli mkuu ila sasa watu wamezidisha matumizi ya simu kuliko hata kumjali mwenza. Mda wote mtu yuko busy na screen ya simu.simu yake bando lake matumizi upange wewe jamani haya ni matakataka
Napenda komenti zako zinanifurahisha sanasimu yake bando lake matumizi upange wewe jamani haya ni matakataka
mi nakupenda wewe ila udomo zege tu huu unanisumbuaNapenda komenti zako zinanifurahisha sana
Umesema vyema mkuu.Mitandao ya kijamii pamoja na 'smartphone' zimetufanya kuwa nusu wehu kwa kiasi fulani. Kwa mfano zamani mlikuwa mnatoka out na kwenda labda Hotelini mnakas Zero distance mnazungumza yenu mpaka mnamaliza lakini now mnatoka out mnaenda hotelini mnakaa Zero distance lakini kila mtu yupo na simu yake ana-chat,vivyo hivyo hata katika majimbani mwetu siku hizi familia inakaa sitting room kila mtu yupo busy na simu yake tofauti na zamani familia inakaa sitting room ina concetrate kwenye mambo ya kifamilia.
YAANI SIMU ZIMETUFANYA TUWE KARIBU SANA NA WATU TUSIOWAONA KULIKO WALE TUNAOWAONA.
Hahhahahhhahahhmi nakupenda wewe ila udomo zege tu huu unanisumbua
mkuu umeongea vyema sanaMitandao ya kijamii pamoja na 'smartphone' zimetufanya kuwa nusu wehu kwa kiasi fulani. Kwa mfano zamani mlikuwa mnatoka out na kwenda labda Hotelini mnakas Zero distance mnazungumza yenu mpaka mnamaliza lakini now mnatoka out mnaenda hotelini mnakaa Zero distance lakini kila mtu yupo na simu yake ana-chat,vivyo hivyo hata katika majimbani mwetu siku hizi familia inakaa sitting room kila mtu yupo busy na simu yake tofauti na zamani familia inakaa sitting room ina concetrate kwenye mambo ya kifamilia.
YAANI SIMU ZIMETUFANYA TUWE KARIBU SANA NA WATU TUSIOWAONA KULIKO WALE TUNAOWAONA.
Kwa nini mkuu unatatani tuendelee kuwa hivi??THE TRUTH HAS SPOKEN .
But its better this way.
Mdau ukauzu unaisha wote na mkoba wake anakupa umshikie ili atokee vizuri.eti na nilivyo kauzu hivi MTU aniombe nimpge picha!