BJ.Sahani JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 220 Reaction score 33 Jun 7, 2013 #1 Habari wadau JF, Ningependa kuuliza,eti simu za tecno(eg.tecno n3,tecno d5,tecno n7) ni original ama ni fake?
Habari wadau JF, Ningependa kuuliza,eti simu za tecno(eg.tecno n3,tecno d5,tecno n7) ni original ama ni fake?
mkayala JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 555 Reaction score 72 Jun 7, 2013 #2 Original,mfano tecno n3 inauzwa dola 55 had 60 huko dunian,huku lak na nusu.
BJ.Sahani JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 220 Reaction score 33 Jun 8, 2013 Thread starter #3 mkayala said: Original,mfano tecno n3 inauzwa dola 55 had 60 huko dunian,huku lak na nusu. Click to expand... ahsante xana kaka,vp kuhusu bei ya tecno n7,sh. Ngapi hapa bongo?
mkayala said: Original,mfano tecno n3 inauzwa dola 55 had 60 huko dunian,huku lak na nusu. Click to expand... ahsante xana kaka,vp kuhusu bei ya tecno n7,sh. Ngapi hapa bongo?
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,840 Reaction score 6,148 Jun 8, 2013 #4 BJ.Sahani said: ahsante xana kaka,vp kuhusu bei ya tecno n7,sh. Ngapi hapa bongo? Click to expand... laki3 na nusu kariakoo,ipo kama s3..
BJ.Sahani said: ahsante xana kaka,vp kuhusu bei ya tecno n7,sh. Ngapi hapa bongo? Click to expand... laki3 na nusu kariakoo,ipo kama s3..
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,078 Reaction score 8,708 Jun 8, 2013 #5 tecno zinatengenezwa na kampuni ya Hongkong na Hongkong wana vitu quality tatizo wale wachina wa bara ndio waigizaji wakubwa na ndio kuna uwezekano wa kuwepo feki,wachina wanaiga hadi prototype za ndege za kivita kutoka Urusi sembuse Tecno?
tecno zinatengenezwa na kampuni ya Hongkong na Hongkong wana vitu quality tatizo wale wachina wa bara ndio waigizaji wakubwa na ndio kuna uwezekano wa kuwepo feki,wachina wanaiga hadi prototype za ndege za kivita kutoka Urusi sembuse Tecno?