Ina support 4GBiashara ya simu za mezani, unaweka line ya aina yoyote ile (vifurushi kama kawa),ina kaa na charge kwa siku 7,ina radio na pia inatuma na sms...kwa TZS100,000/-..ukiwa Dar city centre,delivery ni free...pia tunatuma na mikoani...kwa watakaohitaji..!
Ni nzuri kwa familia kubwa yenye (mahouse boys &girls),kwa vijijini pia na zaidi kwenye ofisini zetu...ina save gharama the sana...
Kwa orders,pl nicheki 0714 345 432/0685 779 278(whatsapp)..!View attachment 743023View attachment 743024
...simu moja mnatumia nyumba nzima!Ina save gharama gani wakati inatumia vifurushi vya mitandao husika kulingana na line utakayoweka na kwa bei ile ike??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimegundua uzuri mwingine wa hii simu sio lazima ikae nyumbani tu,ukipenda unaweza kutembea nayo na ukapata mawasiliano kama vile unavyotumia mobile phone..
ili utembee nayo simpaka ununue bag, ya nn yote hiyo wakat simu ya ya 25,000 inamaliza kila kituNimegundua uzuri mwingine wa hii simu sio lazima ikae nyumbani tu,ukipenda unaweza kutembea nayo na ukapata mawasiliano kama vile unavyotumia mobile phone..