Hello wadau msaada plz.! Kuna MTU nilimpa Simu Yangu samsung 7 Prime, kujakuchukua Simu hivi hakuna kinachofanyika inaniletea ujumbe NOT REGISTERED ON NETWORK Msaada plz

Hata mie Samsung yangu nimeipeleka kwa fundi kubadill kioo,,nafika home kuweka line network imegoma , ila simu inaitambua line,,, tafaadhal kwa msada mkuu