Simu yangu majanga, msaada bandugu

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,570
Reaction score
8,328

Ukipiga kuangalia salio, kuweka vocha nk inaleta kama inavoonekana hapo juu, yaani kama unapiga namba ambayo haianzii na nyota na kuishia na reli.

Baadae inaleta hivi inavyoonekana
 
Inaweza kuwa mtandao Wa shida hebu i-reboot then jaribu tena kufanya hiyo miamala....then tupe feedback
 
Inaweza kuwa mtandao Wa shida hebu i-reboot then jaribu tena kufanya hiyo miamala....then tupe feedback

Kuroot sijua asee, kwa mnafanyajefanyaje kuroot
 
Nilikuwa namaanisha kuireboot
Yani kuizima na kuiwasha
Umejaribu kuirestore the whole phone mkuu???
 
Nilikuwa namaanisha kuireboot
Yani kuizima na kuiwasha
Umejaribu kuirestore the whole phone mkuu???

Yote nimefanya lakin holah!
 
kurestore na kureboot ni vitu viwili tofauti
 
Ebu jaribu kuweka line nyingine ucheki isikute labda tatizo line
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…