Simu yangu imepoteza network baada ya error kwenye recovery mode

Cha93

Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
23
Reaction score
14
Nina simu aina ya Tecno H7 Ambayo imepoteza network baada ya software yake kuharibika hata Ku_reset inakataa sasa hv naomba msaada wenu nn cha kufanya
 
Jaribu Kui restore kama tatizo litakuwa bado peleka kwa fundi.
 
Angalia imei kama ipo pia angalia baseband kama ipo...

*#06#
 
Nina simu aina ya Tecno H7 Ambayo imepoteza network baada ya software yake kuharibika hata Ku_reset inakataa sasa hv naomba msaada wenu nn cha kufanya
Angalia imei zake km zipo *#06# zitume TCRA kwenda 15090 km imei invalid julisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…