lyaguchunya Member Joined Aug 18, 2020 Posts 56 Reaction score 414 Nov 11, 2023 #1 Habari za jioni wakuu, Nimenunua simu kwa MTU kwa bahati mbaya nmejaribu kuaccess internet imegoma kabisa vile vimishale vya internet vinaonekana lakin akuna kitu simu ni Nokia G10. Naombeni maaada wenu..
Habari za jioni wakuu, Nimenunua simu kwa MTU kwa bahati mbaya nmejaribu kuaccess internet imegoma kabisa vile vimishale vya internet vinaonekana lakin akuna kitu simu ni Nokia G10. Naombeni maaada wenu..
kalisheshe JF-Expert Member Joined Mar 19, 2020 Posts 2,280 Reaction score 4,579 Nov 11, 2023 #2 Kama sio shida ya mtandao eneo ulilopo Fanya kuswitch off simu yako ukiwa umewasha data.
Immano2 JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 276 Reaction score 233 Nov 11, 2023 #3 Fanya internet setting