Mshumaaa Senior Member Joined Sep 26, 2012 Posts 156 Reaction score 17 Jun 5, 2013 #1 Kila nikiplay mp4 inacheza sauti tu picha hakuna. Naomba mnisaidie link niwezepata media player nyingine hata kwa kudownload. Simu yangu ni Nokia E61i. Haya wataalamu kazi kwenu.
Kila nikiplay mp4 inacheza sauti tu picha hakuna. Naomba mnisaidie link niwezepata media player nyingine hata kwa kudownload. Simu yangu ni Nokia E61i. Haya wataalamu kazi kwenu.
nurbert JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,887 Reaction score 428 Jun 5, 2013 #2 If I'm not mistake hii thread Ina media player za symbian znazo play mp4 mpaka avi..... Pia kwa matzo ya symbian mengne waweza kuulza hapo.... symbian Megathread
If I'm not mistake hii thread Ina media player za symbian znazo play mp4 mpaka avi..... Pia kwa matzo ya symbian mengne waweza kuulza hapo.... symbian Megathread