Being gani?Njoo PM nikuuzie L9plus,used kidogo ila bado mpya,inakaa na chaji(5000mAh),camera-13mp,ram-2gb, internal-16gb,fingerprint-yes,android-nougat
Mkuu Nipo Magomeni dar,bei ni 200,000fixedBei gan mkuu na upo wap?
200,000 fixedBeing gani?
nunu tecno zote lakini epuka matoleo haya...W3,W5, k series...kwa cmu bora kwa tecno ni tecno c9. ucdanganyika na mvuto wa nje ila nyingi hazina ubora wa kudumu, huzima ghafla.Wakuu, heshima kwenu, mimi napenda sana simu toka kampuni ya tecno, mpaka sasa hii natumia tecno, nahtaji ninunue tena tecno,
Je ni tecno gan yenye ubora na ya bei ya chini kama laki mbili hivi??
Msaada tafadhali.
Used? au mpyaWakuu, na unaponunua simu, vitu vya mhimu kuichunguza kabla hujalipia ni kama vip?
Yaan vya mhimu katika simu hiyo.