Unaweza kukuta anayeongea hayo yupo nyumbani kwao anaishi na wazazi wake kila kitu anategemea kwa wazazi wake.
na Jumatatu anahitajika aende shule.
naomba nikushauri..at 24 yrs unasema ulikuwa na mchumba??...means una-girlfriend aliyekidhi vigezo vyako vya kuwa mkeo wa ndoa?....kama majibu ni ndiooo....dogo naomba ule starehe kwanza coz utakuwa unainyima nafsi yako tamu ya maisha kabla ya ndoa....naona kama kuana 6yrs za kula starehe na vitoto vya kike wewe unataka "kuingia ndoani-ndoana" mapema hivo...matokeo yake unakuwa mme wa watu..full vinyumba ndogo mpaka ma-beki 3 unawala hovyo kisa hujakata kiu ya ujana.
Mpige chini huyo kicheche anza kuwa playa hakikisha unakuwa na mademu 7 na kila m1 anaamini wewe ni mtu wake na wote unawachapa dudu-kojo mpaka wanaridhika...plus mimba za kusingiziwa na za kutoa mpaka madaktari wote wanakuwa washkaji zako...then unapata m1 unaweka ndani unatulia maisha yanaanza at 40...{thats what ma papa told me}

hahahaha ndugu mbona hata mimi yalishawahi nikuta ya design hiyo manzi anasingizia analala ukimcheki mida mibovu simu iko busy ukiuliza oohh my friend..nin..friend saa 6 usiku mixa simu busy lisaa limoja..mwisho wa siku nikapiga chini..nae akanambia hivyo hivyo nibadilike vinginevyo wanawake wengine blah blah..point ya msingi ndugu maadamu umeshaamua kumuacha wewe simamia tu maamuzi yako..wala usiwe na papara ingawa samtyms yeah ur going to miss her..accept the fact that umejifunza mengi sana toka kwake its time to move on and be a better man to another lady/girl..or whatever..so usiwaze wanawake wapo wengi sijawahi kuona ndugu yangu...just remember her bad side..uta get over her tu..thats all i got to say hommie..keep rocking..and stand up tall...!!!!!! ouver...!!!ndugu wana jf.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nimejitokeza kwenu mnishaur mimi nimewahi kuwa mchumba binafsi nilimpenda na nikadhamilia kumuoa sasa tulidum kwa mda wa miezi minne cha ajabu hakuwah kunitafuta kwenye sim hata siku moja basi siku moja nikawa nikimpigia cim usiku tunaongea kidogo anadai amechoka basi kwa vile nampenda nikawa namheshim nampa mda apumzike basi ciku moja nikampigia cim saa mbili uciku nikakuta sim iko bizy kama dakika 20 hivi basi nilivyopiga tena akapokea but akaniambia nikate kwani kuna mtu wa muhim anaongea basi nikamuuliza nan akaniambia ni rafiki basi nikamwambia si tuongee kwanza akakataa basi nikachukia nikakata sim na tukaachana sasa no tukikutana amenichukia na hataki hata salam yangu akaanza kunilaum eti nisipobadika tabia cintoish na mwanamke je ndugu zangu mi ndo nina makosa au yeye lakin mimi nimechoka mara huwa anasema mara mi mzur nikimwambia mwanaume yeyote nikae kwake anakubali mi nikaona hafai na tukaachana