Habari wanabodi! Naomba kuuliza je inawezekana Kuwa na simu ya mezani lakini yenye kutumia mtandao wa Tigo? Na kama hizo simu zipo zinapatikana wapi? Zinaweza Kuwa zinauzwa kiasi gani? Nitashukuru sana kwa majibu wakuu.
Nilinunua enzi ya Sasatel sina hakika kama hii kampuni bado ipo, kama ipo nitakupa tu mkuu bila pesa.Unazo zinazotumia line zote?
Nilinunua enzi ya Sasatel sina hakika kama hii kampuni bado ipo, kama ipo nitakupa tu mkuu bila pesa.
Hivi huu mtandao ulikuwa unamilikiwa na nani?Nilinunua enzi ya Sasatel sina hakika kama hii kampuni bado ipo, kama ipo nitakupa tu mkuu bila pesa.
HUwezi kushindwa kunipata, wewe fanya utafiti kama huu mtandao upo, la kama haupo uliza kama hii simu inaweza kutumika kwenye mtandao mwingine, kama inawezekana nitakuelekeza kazini kwangu utakuja kuichukua. Bado mpya tu, inaweza kukufaa.Renegade less kiasi gain? Aina IPI unauza? Nitakupataje mile contact zako.
Huu mtandao kama ulikuwa na wachina au WaIndonisea vile!!! Nakumbuka kuna dogo wangu mmoja alilamba Turufu pale.Hivi huu mtandao ulikuwa unamilikiwa na nani?
Na imekuaje umetoweka ghafla?