Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
me nahitaji ELEPHONE P7000 niambie nitapata kwa bei gan?
Ndo simu gani hiyo mkuu?me nahitaji ELEPHONE P7000 niambie nitapata kwa bei gan?
Hio memory unamaanisha RAM au ROM?Nahitaji simu iwe kwenye hali nzuri.
Kioo - 4"+ ,
Memory 4GB+,
Budget - Tsh.90,000/=.
Nicheki kwa sms na call 0756851815.
sent by Samson Cyper
ROM Mzee au Internal memory.Hio memory unamaanisha RAM au ROM?
Mkuu unatania.
Late 300000 nikupe sumsung j7 mpya 4gTaja simu ya kisasa yenye kamera kuanzia 8 mp, ram 1 au 1.5, display 4.5 au 5. Kama ipo yenye zaidi ya hivyo au sawa na hivyo tusaidie kushare.
Warning: isiwe used au model za tecno, itel na vodafone. Isizidi 300k(laki tatu) na isipungue 250(laki 2.5)
wewe unaielewaje hii kauli ya pambana na hali yako?Mungu ban wenzio wanatafuta mitaji wew unataka simu ya 250k
bongo mufilisi
Ndio namalizia kupambana mzee Ubarikiwewewe unaielewaje hii kauli ya pambana na hali yako?
Samsung hata j5 haiuzwi kwa bei hiyo mkuu
Mkuu kwa 90k dukani zimejaa kila kona usiangaike na used zipo kama dagaa nikuchagua wewe. Kutokana na ulivyoandika hapo juuNahitaji simu iwe kwenye hali nzuri.
Kioo - 4"+ ,
internal memory 4GB+,
Budget - Tsh.90,000/=.
Nicheki kwa sms na call 0756851815.
sent by Samson Cyper
Anamaanisha rom wengi hawataki kusikia habari ya ram. Kwa ram hata uwe na 250k huwezipata simu yenye 4gb ram labda iwe imekufaHio memory unamaanisha RAM au ROM?
Wewe unaonekana maskini kama Mimi. Si kila mtu anahangaika kutafuta mtaji wengine walishatoka kitambo....unapopambana na hali yako usitingishe ya wenzioMungu ban wenzio wanatafuta mitaji wew unataka simu ya 250k
bongo mufilisi