Katika kuiona simu aliyoionyesha gwajima kuhusu sms ya dr. slaa nimeshangaa kwa mara ya kwanza kuliona jina lile kwa mimi niliyezoea kuona samsung na tecno inaitwa Docomo Fujitsu F-10D Arrows X Nvidia Tegra 3
kumbe askof anatumia simu nzuri ambayo ina uzwa around dola $280
Duh tegra 3?? Hapana haiko vizuri. Na docomo kama sjakosea ni mtandao wa japan inamaana hio simu imenunuliwa jamaa watu wakaichakachua (ku unlock) then ndio ikatumika huku.