street king
Member
- May 25, 2012
- 7
- 0
0712400460 namba yng ya simu
Weka na bei basi ya ps 2&3??
Weka bei ya pad za ps3
mkuu, play station game 2, unauza shilingi ngapi, kwa moja. Asante, na hebu weka namba yako ya simu
ipo bado ndugu au ushabadili IDHabari zenu wanajf,,nakuja jukwaani kama kijana mjasiriamali anaechipukia,,nimekuja na biashara ya vitu vya mtumba kama vile SIMU,,,COMPUTERS,,,PLAYSTATIONS GAMES na vifaa vyake kama padi,flash,memory card,pia na cd zake,,pia nabadili mtindo wa ps2 na ps3 kutoka kutumia cd ili itumie flash,,pia naingiza game kwenye flash,,,nauza program ya kucheza game za playstation kwenye computer,,kwa yoyote ataekua anahitaji bas ataniPM