Simu na pad za tecno bei rahisi.....

Paje

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2010
Posts
1,185
Reaction score
486
sisi tupo DAR na zanzibar .Tuna hizo tecnno m5 na p5 na pad d9. bei ni nafuu kuliko duka lolote hapa dar.
tecno p5 bei ni 150,000/=
tecno m5 bei ni 230,000/=
tecno pad D9 bei ni 320,000/= internal memory ROM 16GB na RAM 1GB. battery inakaa muda mrefu standby masaa 350.
angalia specification zaidi katika website ya tecno au search google.
 
simu na pad zote ni mpya na zimo ndani ya box ambalo halijafunguliwa. zipo mpya na boxed...
 
Paje weka namba ya cm,Duka lenu linapatikana wapi? Uwa tunaulizaga simu ni original au mchina? Sasa Tecno ni full mchina je swali hizo tecno zako ni Mchina original au Mchina feki?
 
Last edited by a moderator:
Paje weka namba ya cm,Duka lenu linapatikana wapi? Uwa tunaulizaga simu ni original au mchina? Sasa Tecno ni full mchina je swali hizo tecno zako ni Mchina original au Mchina feki?

hahahahaaaaaaaaaa,mkuu,hakuna tecno feki wewe,mchina huwa hamcopy mchina mwenzake hata cku moja,tecno zote ni superb,ndio maana brand zingine wanaweweseka nazo,utaona tu sasa hv anti-tecnos watazaa na mimi
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaaaaaaaaa,mkuu,hakuna tecno feki wewe,mchina huwa hamcopy mchina mwenzake hata cku moja,tecno zote ni superb,ndio maana brand zingine wanaweweseka nazo,utaona tu sasa hv anti-tecnos watazaa na mimi

haha haaa . hapo umenena ukweli. ni kweli tecno zote zina garantii ya mwaka mzima. wanasema 12 months warranty
 
Kariakoo kubwa kaka duka liko wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…